Asante kwa kutushirikisha hadithi yako.

Hadithi yako itakuwa sehemu maalum ya sherehe yetu ya pamoja tunapoadhimisha miaka 40 ya harakati za kutetea  haki za watu wenye ulemavu.

Kwa kuchangia, unatusaidia kuikuza kazi hii muhimu ya uanaharakati na wadau wake  duniani kote na kuchochea hatua zinazoendelea kwa siku zijazo.

Asante kwa kuwa sehemu ya harakati hizi za kimataifa na kwa kutusaidia kusherehekea umoja wetu  katika kutetea haki za watu wenye ulemavu. Ikiwa ungependa kutushirikisha picha zaidi au una maswali yoyote, jisikie huru kututumia barua pepe kupitia: communications@add.org.uk.